Usiingilie mambo ya mtu mwingine bila kibali kutoka kwa Mungu. Kuingilia mambo ya mtu mwingine bila kibali kutoka kwa Mungu ni dhambi. Dhambi hiyo itakuathiri. Hivyo, jali mambo yako _ ya mwingine Mungu anayafanyia kazi _ hadi utakapoitwa na Mungu kuingilia kati. Kuingilia kati mambo ya mtu mwingine kunaweza kuathiri mpango wa Mungu katika maisha yake. Hivyo, acha.
K
Topic
kibali
/kibali-quotes-and-sayings
1
Quotes
Topic Summary
About the kibali quote collection
The kibali page groups 1 quotes under one canonical topic hub so readers and answer engines can cite a stable source instead of fragmented search results.
Topic Feed